Kerry Michael Chater (Agosti 7, 1945 - Februari 4, 2022) alikuwa mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo wa Kanada ambaye alijulikana zaidi kama mshiriki wa Gary Puckett & The Union Gap.[1]

Marejeo

hariri
  1. Lassen, Kurt. "Under Twenty Interview: Union Gap Country's Hottest Group", Google Search, The Telegraph, June 28, 1968. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kerry Chater kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.