Ketone ni kampaundi ogania yenye atomu ya kaboni iliyo na muungo maradufu na atomi ya oksijeni. Atomu hii ya kaboni lazima pia iwe na muungo mosi na atomi nyingine mbili za kaboni.

Muundo wa ketone.

Ketone inaweza kuzalishwa kwa oksidishaji ya alkoholi upili.

Mfano wake ni asetoni ambayo pia huitwa ketoni dimetili, (CH3CO.CH3)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ketoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.