Kevin Curran (mwandishi)
Kevin Patrick Curran (27 Februari 1957 – 25 Oktoba 2016) alikuwa mwandishi wa vichekesho wa runinga wa Marekani. Aliandika vipindi vya Late Night with David Letterman, Married... with Children, na The Simpsons. Pia alikuwa sauti ya Buck the Dog katika Married... with Children (isipokuwa kwa vipindi kadhaa ambavyo Buck alitolewa sauti na Cheech Marin).[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Kevin Curran, Writer and Producer for 'The Simpsons,' Dies at 59", 26 October 2016.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kevin Curran (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |