Khadija Gbla

Khadija Gbla ni mwanaharakati wa wanawake na haki za binadamu kutoka Sierra Leone. Anafanya kazi kama mshauri wa kitamaduni, mzungumzaji mkuu na mhamasishaji kampeni ya kupinga ukeketaji.[1]

Gbla alianza, "ukeketaji unathiriwa katika kila hatua ya maisha yako; kila mwanamke ana aibu yake na kujitenga katika uzoefu wake. Nataka watu wajue jinsi gani hili tendo ni lakikatili, lenye ukiukwaji wa haki za wanawake na wasichana. Kuna elimu nyingi ambayo inahitaji kufanywa. Ni juu yetu kumaliza kabisa huu ukiukwaji wa haki za kibinadamu."

Maisha binafsiEdit

Mwaka 1991 familia yake ilihamia Gambia na baadaye Australia kwa sababu za kiusalama, ambapo alipewa hifadhi ya ukimbizi mwaka 2001. [2]

ShughuliEdit

Alijitolea mashirika ya hisani South Australia lililojulikana Women's Health Statewide. Alisaidia kuelimisha matabibu, afisa polisi na jamii za wakeketaji. Khadija alifanya kazi ya kuzuia ukeketaji Australia, kuandaa hisani HAKUNA ukeketaji Australia kutoa huduma ya afya na msaada wa kielimu kwa wanawake na wasichana.[3]

KutambulikaEdit

Kazi yake ilipewa heshima mara kadhaa:

  • 2016 Women's Weekly and Qantas Women of the Future finalist
  • 2014 The Advertiser South Australia’s 50 most Influential Women
  • 2013 Madison Magazine Australia's top 100 inspiring Women
  • 2013 Amnesty International Human Rights Activists to watch out in 2013
  • 2011 State, Finalist Young Australian of the Year.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khadija Gbla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

MarejeoEdit