Khalia Braswell
Khalia Braswell ni mwanasayansi wa kompyuta, mwalimu, na mwanateknolojia wa Marekani. Yeye ndiye mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa INTech Camp for Girls, kuhimiza wasichana kujifunza kuhusu teknolojia. [1] [2]
Marejeo
hariri- ↑ "Congresswoman Adams Presents One Meck Community Recognition Award to INTech Camp for Girls Founder & CEO, Khalia Braswell". The County News. 2017. Iliwekwa mnamo 2021-05-26.
- ↑ "Black Tech Mobilizes to Beat the Youth 'Summer Slide' – The Hidden Genius Project". The Hidden Genius Project (kwa American English). 25 Julai 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Khalia Braswell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |