Khobz Mbesses (kwa Kiarabu: خبز مبسّس ) ni keki inayoandaliwa nchini Algeria na kutengenezwa na semolina au nafaka.
Aina - Dessert
Mji au mkoa - Algeria
Viungo - samolina au nafaka na mayai