Khobz Mbesses

(Elekezwa kutoka Khobz mbesses)

Khobz Mbesses (kwa Kiarabu: خبز مبسّس ) ni keki inayoandaliwa nchini Algeria na kutengenezwa na semolina au nafaka.

ni keki ya Algeria ambayo kawaida hutengenezwa kwa semolina au farin
keki ya Algeria ambayo kawaida hutengenezwa kwa semolina au farin

Aina - Dessert

Mji au mkoa - Algeria

Viungo - samolina au nafaka na mayai

Marejeo

hariri