Kiakoose ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waakoose. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiakoose imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiakoose iko katika kundi la A10.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakoose kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.