Kiambu ni mji wa Kenya ya Kati, makao makuu ya kaunti ya Kiambu.

Kiambu
Kiambu is located in Kenya
Kiambu
Kiambu

Mahali pa mji wa Kiambu katika Kenya

Majiranukta: 1°10′1″S 36°49′19″E / 1.16694°S 36.82194°E / -1.16694; 36.82194
Nchi Kenya
Kaunti Kiambu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 88,869
Ramani ya Kiambu, Kenya.
Maporomoko kumi na manne ya Kiambu.
Mmoja wa wafanyabiashara wa soko la Kiambu.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 88,869[1].

Tanbihi

hariri
  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.