Kiasilulu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waasilulu kwenye visiwa vya Ambon na Seram. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiasilulu imehesabiwa kuwa watu 8760. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiasilulu iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiasilulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.