Kiawadhi (au Kiavadhi) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Waawadhi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiawadhi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 2,530,000. Pia kuna wasemaji 502,000 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiawadhi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawadhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.