Kibaka (Kamerun)
Kibaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabaka. Isichanganywe na Kibaka cha Sudan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibaka nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia kuna wasemaji 3200 nchini Gabon. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaka iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibaka Archived 17 Aprili 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bkc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaka (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |