Kibakaka ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabakaka. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibakaka imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibakaka iko katika kundi la A10.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.