Kibalaesang (pia Kipajo) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabalaesang kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibalaesang imehesabiwa kuwa watu 3200. Kwa vile Wabalaesang wengi wameanza kuacha lugha yao, Kibalaesang imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibalaesang iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibalaesang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.