Kibanda cha mtandao

Kibanda cha mtandao (kwa kiingereza: internet café) ni pahali ambapo watu wanaweza kutumia mtandao kwa kulipa huduma hiyo.

Kibanda cha mtandao nchini Mali.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.