Kibankon ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabankon. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibankon imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibankon iko katika kundi la A40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibankon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.