Kibebe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabebe. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibebe imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibebe iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibebe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.