Kibete-Gagnoa
Kibete-Gagnoa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabété. Isichanganywe na Kibete ya Nigeria. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibete-Gagnoa imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibete-Gagnoa iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigagnoa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigagnoa Archived 15 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigagnoa katika Glottolog Archived 26 Januari 2016 at the Wayback Machine.
- http://www.ethnologue.com/language/btg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibete-Gagnoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |