Kibintauna ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabintauna kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibintauna imehesabiwa kuwa watu 11,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibintauna iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibintauna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.