Kibongili
Kibongili ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wabongili. Idadi ya wasemaji wa Kibongili imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibongili iko katika kundi la C20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibongili kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibongili Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibongili katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bui
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibongili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |