Kibonyezo cha kirejeshi

Kibonyezo cha kirejeshi au kibonyezo kirejeshi (kwa Kiingereza: back space key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ifutwe herufi moja katika kiwambo cha tarakilishi.

Kibonyezo cha kirejeshi.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.