Kiburuwai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waburuwai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiburuwai imehesabiwa kuwa watu 1000, lakini wengi wao wameanza kubadilisha lugha. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburuwai iko katika kundi la Kisabakor.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburuwai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.