Kibussa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabussa. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kibussa imehesabiwa kuwa watu 6620. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibussa iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibussa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.