Kicao-Lan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wasan-Chay. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kicao-Lan imehesabiwa kuwa watu 169,000. Pia kuna wasemaji nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicao-Lan iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicao-Lan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.