Kidenya
Kidenya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadenya. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kidenya imehesabiwa kuwa watu 11,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidenya iko katika kundi la Kimamfe ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidenya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidenya Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidenya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/anv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidenya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |