Kidhimal ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wadhimal. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidhimal nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 19,300. Pia kuna wasemaji 450 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhimal iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhimal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.