Kidusun ya Tempasuk ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wadusun. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kidusun ya Tempasuk imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun ya Tempasuk iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidusun-Tempasuk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.