Kiengdewu (au Kinanggu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waengdewu kwenye kisiwa cha Santa Cruz. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiengdewu imehesabiwa kuwa watu 210. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiengdewu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiengdewu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.