Kigadaba-Pottangi-Ollar

Kigadaba ya Pottangi Ollar ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Ni tofauti na Kigadaba-Bodo ambayo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigadaba ya Pottangi Ollar imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba ya Pottangi Ollar iko katika kundi la Kiparji-Gadaba.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigadaba-Pottangi-Ollar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.