Sanduku la habari la filamu 2 linaweza kutumika kwa kufupishia habari kuhusu filamu.

Matumizi hariri

Sanduku hili linaweza kuwekwa kwa kukopi hayo maeelezo ya hapo chini na kwenda ku-pesti juu kabisa ya makala. Uga zote ni za hiari; kila uga ambayo itakuwa haijatumika inatakiwa iachwe au ikiwezekana ihondoshwe (usiondoe uga endapo ukijiona huna uzoefu wa kufanya hivyo au matumzi ya zana za wiki).

{{Filamu 2
| jina             = 
| picha            = 
| ukuwa_wa_picha   = 
| maelezo_ya_picha = 
| mwongozaji       = 
| mtayarishaji     = 
| mtunzi           = 
| mwadithiaji      = 
| nyota            = 
| muziki           = 
| sinematografi    = 
| mhariri          = 
| msambazaji       = 
| imetolewa        = 
| muda             = 
| nchi             = 
| lugha            = 
| bajeti           = 
| mapato           = 
| imetanguliwa_na  = 
| ikafuatiwa_na    = 
}}