Sanduku la "Msanii muziki"

hariri

Sanduku hili linatumiwa kujumlisha habari za msanii wa muziki.

Ukitaka kutumia sanduku hili unakili maandishi jinsi inavyoonekana ndani ya mstari uliovunjika na fuata maelezo:

  • Nakili maandishi hapo chini
  • Uyaweke yote mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
  • Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
  • Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
  • Kwa picha fuata maelezo katika mabano ya >> << na FUTA MAELEZO HAYA YOTE baada ya alama ya =
  • kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
  • Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni. Usifute mstari.
{{Msanii muziki
| rangi               = 
| jina                =
| picha                = 
| maelezo_ya_picha    = 
| jina kamili     = 
| jina la kisanii     = 
| alizaliwa           = 
| alikufa             =  
| nchi                = 
| aina ya muziki      = 
| kazi yake           = 
| miaka ya kazi       = 
| ameshirikiana na    =	  
| ala                 =  
| kampuni             =  
}}