Kigezo:MySpace
MySpace katika MySpace
Matumizi hariri
Jina la template hii ni MySpace cha kwanza kufanyika ni kuandika jina la akaunti ya mtumiaji wa MySpace. Hili linaweza kupatikana katika kurasa za URL: ikiwa URL ya http://www.myspace.com/mfano, basi ujue jina la akaunti litakuwa: soma katika mfano.
Mifano hariri
Katika mfano huu, jina la akauti ya mtumiaji wa MySpace ni fidq na maelezo yatakayoonekana katika kiungo hiki ni Fareed Kubanda
{{MySpace|fidq|Fareed Kubanda}}
Katika mfano huu, jina la akauti ya mtumiaji wa MySpace ni 8857543 na maelezo yatakayoonekana katika kiungo hiki ni Jennifer Aniston
{{MySpace|8857543|Jennifer Aniston}}