Kigezo:Non-free newspaper image
Picha hii ya kuskaniwa ya kurasa ya gazeti au makala, na hatimiliki yake mara nyingi huonekana kumilikiwa na aidha mchapishaji wa gazeti au wachangiaji mmoja mmoja ambao hufanya kazi za makala mbalimbali au picha zilizoonyeshwa. Inaaminika kwamba kutumia picha za kurasa za magazeti zenye mwanga-mdogo
linathibitisha kwa kazi hii ni kama fair use chini ya Sheria za Marekani. Matumiizi yoyote yale ya picha hii, iwe katika Wikipedia au sehemu nyingine, hiyo inaweza kuwa ni ukiukwaji wa sheria. Tazama maelezo ya hatilimiliki kwa habari zaidi. Tanbihi: Ikiwa picha inamwonyesha mtu au watu kwenye kava lake, haikubaliki kutumia picha hiyo kwenye makala inayohusu mtu aliyeonyeshwa katika picha au mtu aliyeonekana katika kava, isipokuwa ikitumiwa moja kwa moja katika makala husika na masuala ya machapisho ya picha hiyo. Kutumia picha tu kwa ajili ya kuonyesha mtu au watu walio katika picha, basi ujue hiyo itaondoshwa. Kwa mpakiaji: tafadhali weka maelezo ya fair use kwa kila matumizi, kama jinsi ilivyoelezwa katika mwongozo wa matumizi ya picha zisizo huria, na vilevile chanzo cha habari ambacho kina hatimiliki. |