Kigezo:Non-free promotional
Hii ni picha inayomilikiwa, ambayo imetolewa na kampuni au shirika kwa lengo la kutangaza kazi au bidhaa zao katika vyombo vya habari, yaani kama vile kutangaza nguo au picha za matangazo kwa ajili ya zana za uhandishi. Mara nyingi hati miliki kama hizo huwa zinamilikiwa na kampuni iliyotengeneza kazi hiyo au msanii aliyetengeneza kazi hiyo kwa lengo fulani; unalazimika kutoa au kuonyesha ushahidi juu ya umiliki huo. Ikitokea ukosefu wa ushahidi basi tegeme kufutwa kwa . Inaaminika kwamba kutumia picha za matangazo ni kuonyesha mifano hai ya tendo tajwa kwa mfano:
Imethibitisha kuwa kama fair use chini ya sheria za Kimarekani. Matumizi mengine yeyote ya picha hii, iwe katika Wikipedia au kwingine, inaweza kuwa ni ukiukwaji wa sheria. Angalia picha zisizo-huru (Kiingereza) na picha za umma (Kiingereza). |