Ukitaka kutumia sanduku hili unakili maandishi jinsi inavyoonekana hapo chini ndani ya mstari uliovunjika na fuata maelezo:

  • Nakili maandishi hapo chini
  • Uyaweke mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
  • Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
  • Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
  • Kwa picha fuata maelezo katika mabano ya >> << na FUTA MAELEZO HAYA YOTE baada ya alama ya =
  • kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
  • Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni. Usifute mstari.
{{nyota
| jina               = 
| picha              = 
| maelezo_ya_picha   = 
| kundinyota         = 
| Mwangaza unaonekana= 
| kundi la spektra   = 
| paralaksi          = 
| umbali             = 
| mwangaza halisi    = 
| masi               = 
| nusukipenyo        = 
| mng’aro            = 
| jotoridi usoni     = 
| muda wa mzunguko   = 
| majina mbadala     = 
}}