Kigiziga-Kusini

(Elekezwa kutoka Kigiziga-Kusini (lugha))

Kigiziga-Kusini ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wagiziga. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigiziga-Kusini imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigiziga-Kusini iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigiziga-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.