Kiingria
Kiingria ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Waizhoria. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiingria imehesabiwa kuwa watu 120 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiingria iko katika kundi la Kifini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiingria kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiingria Ilihifadhiwa 14 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiingria katika Glottolog
- lugha ya Kiingria kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiingria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |