Kijuang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajuang. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kijuang imehesabiwa kuwa watu 23,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijuang iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijuang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.