Kikanum cha Bädi

(Elekezwa kutoka Kikanum ya Bädi)

Kikanum ya Bädi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakanum. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikanum ya Bädi imehesabiwa kuwa watu kumi tu, yaani inewezekana imeshatoweka kabisa hadi sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikanum ya Bädi iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Kati.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanum cha Bädi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.