Kikarachay-Balkar

Kikarachay-Balkar ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wakarachay na Wabalkar. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikarachay-Balkar imehesabiwa kuwa watu 305,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarachay-Balkar iko katika kundi la Kiturki ya Magharibi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarachay-Balkar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.