Kikemberano ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakemberano. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikemberano imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikemberano iko katika kundi la “South Bird's Head”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikemberano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.