Kiketangalan ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Waketangalan. Hakuna Waketangalan siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kiketangalan, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiketangalan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.