Kikomo cha juu zaidi cha mabaki
Kikomo cha juu zaidi cha mabaki (kifupi cha Kiingereza: MRL) ni kiwango cha juu zaidi cha mabaki ya viua wadudu vinavyotarajiwa kubaki kwenye bidhaa za chakula wakati dawa inapotumiwa kulingana na maelekezo ya lebo, ambacho hakitahatarisha afya ya binadamu.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Health Canada (2009-05-15). "Maximum Residue Limits for Pesticides". www.canada.ca. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
- ↑ "Maximum Residue Levels". ec.europa.eu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikomo cha juu zaidi cha mabaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |