Kikoyo
Kikoyo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wakoyo. Idadi ya wasemaji wa Kikoyo imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikoyo iko katika kundi la C30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikoyo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikoyo Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikoyo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/koh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikoyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |