Kilamboya ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walamboya kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kilamboya imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamboya iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamboya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.