Kili'o (pia Kiaku) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wali'o kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kili'o imehesabiwa kuwa watu 105,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kili'o iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kili'o kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.