Kilima cha Hyrax
Kilima cha Hyrax ni eneo la kihistoria mjini Nakuru katika Bonde la Ufa nchini Kenya. Inachukuliwa kama mojawapo kati ya maeneo muhimu zaidi ya neolithic nchini Kenya. Mlima Hyrax iligunduliwa mnamo 1500 BK na iligubuliwa na Louis Leakey na Mary Leakey mwaka wa 1926.
Uchimbaji ulianza mwaka wa 1937, ukiongozwa na Mary Leakey. Mabaki ya makazi, makaburi na ngome zilizojengwa kwa mawe yalipatikana, pamoja na viwiliwili 19, ambayo hayakuwa na vichwa na katika mwima uliyojikunja. Pia bodi la Bao lilipatikana, pamoja na alama ambazo zilikuwa zimekwizha andikwa. Jumba dogo la Makumbusho ndogo huonyesha matokeo kutoka enzi ya kitmabo ya Iron Age.
Kilima cha Hyrax mojawapo wa maeneo ambayo hupatikana karibu na mashimo ya Sirikwa.