Kilinux ni mradi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswidi (SIDA), katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam[1] kwa ajili ya kutanua matumizi ya Kiswahili.

Inapatikana nchini Tanzania na inaendeshwa na Linux, ikilenga kuunda mfumo wa kitarakilishi kwa ajili ya uendeshaji katika Kiswahili, ambacho kinazungumzwa na takriban watu milioni 100. Mradi huo ulianzishwa kwa juhudi za pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kampuni ya IT+46 kutoka Uswidi.

Historia

hariri

Mradi wa Kilinux ulianza mwaka 2003 kwa uundaji wa faharasa na kikagua herufi kwa OpenOffice.org.

Marejeo

hariri
  1. "Because it could be done, we play our part! Swahili Free and Open Source Software". 4 Desemba 2004. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Februari 2009. Iliwekwa mnamo 30 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)