Kilovono (au Kivano) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Walovono kwenye kisiwa cha Vanikolo. Mwaka wa 2007 idadi ya Walovono imehesabiwa kuwa watu 120 lakini wazee watano tu wangeweza kuongea Kilovono, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilovono iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilovono kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.