Kima'di-Kusini

(Elekezwa kutoka Kima'di cha Kusini)

Kima'di ya Kusini ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wama'di. Lahaja zake huitwa Okollo, Ogoko na Rigbo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kima'di ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 48,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kima'di ya Kusini iko katika kundi la Kimoru-Madi. Ni tofauti na Kima'di lakini wataalamu wengine hukiangalia kama lahaja ya Kilugbara.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kima'di-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.